immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,591
kwani mkuu huna manzi yakukunyegesha ?Nimefikisha siku 119 bila mchezo mchafu wala kuangalia picha chafu sawa na miezi mi 3 na siku 30 imebaki siku 1 nitimize miezi minne, ila safari haikua rahisi.
View attachment 3385559
nami ngoja nianze leo untill demu kanitembelea ghettto ndio nitamwaga mbeguMimi nimefanikiwa kwa miezi 4 sasa,
Nilipangilia kabisa
Ninae ila yuko mbali alafu nofap nayofanya ni kwaajili ya kujizuia kufanya mchezo mchafu wa kujichukulia sheria mkononi, ndo hiyo nimefanikiwa kwa siku 119 sawa na miezi minne kasoro siku 1kwani mkuu huna manzi yakukunyegesha ?
Ninayo zaidi ya mara 10 ya hiyo 1M na ninafanya nofapKama kwenye account yako una hela kama 1m huwezi kufanya
sawaNinayo zaidi ya mara 10 ya hiyo 1M na ninafanya nofap
Kwa hiyo mademu unaendelea kupiga kama kawaidaNinae ila yuko mbali alafu nofap nayofanya ni kwaajili ya kujizuia kufanya mchezo mchafu wa kujichukulia sheria mkononi, ndo hiyo nimefanikiwa kwa siku 119 sawa na miezi minne kasoro siku 1
Hapana nimepiga mara 1 ndani ya hizo siku 119Kwa hiyo mademu unaendelea kupiga kama kawaida
Na ukikatiza mtaani yani wadada wamevaa nusu uchi maungo yote nje,lkn tukaze🤣🤣🤣changamoto ni picha za uchi mitandaoni
wamtaan sio chngamoto kam kwenye picha make utakuta umeiangalia post hata kwa dakik3 ko hisia zinakuja kwa kasiNa ukikatiza mtaani yani wadada wamevaa nusu uchi maungo yote nje,lkn tukaze
hapo ni unyama kikubwa no nyeto no pornoHapana nimepiga mara 1 ndani ya hizo siku 119
Umefikia wap?Karibu mkuu, hakika tutaweza ni maamuzi tu
Kazi nzuri hiyoHapana nimepiga mara 1 ndani ya hizo siku 119
Mi basi nikionaga mdada anapita miguu imejaa ina michirizi akili huamahapo ni unyama kikubwa no nyeto no porno
kwaio baada yahapo unaenda kumlia nyetoMi basi nikionaga mdada anapita miguu imejaa ina michirizi akili huama
Hahahaaa hapana mkuu huwa najikaza tu, nyeto nilishaacha miaka mingi sasa na nimeshaisahau kabisakwaio baada yahapo unaenda kumlia nyeto
dah, najuta hata kuanzisha huu uzi
Acha tu mkuu, ni stori ndefuUmefikia wap?
Kwa nin?dah, najuta hata kuanzisha huu uzi
Unanikumbusha moja ya failures zanguKwa nin?