DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 May 10, 2014 #1 Hivi juzi juzi tu wakati mshahara haujaingia tulilalamika sana na kutoa maneno mengi, lakini pesa imeingia mbona hatusemi? Mie naanza, jamani huku Kyela hela imeingia kwenye account zetu. Na wengi/wafanyakazi wa huku wapata chao.
Hivi juzi juzi tu wakati mshahara haujaingia tulilalamika sana na kutoa maneno mengi, lakini pesa imeingia mbona hatusemi? Mie naanza, jamani huku Kyela hela imeingia kwenye account zetu. Na wengi/wafanyakazi wa huku wapata chao.