Tunaofana kazi jiji la Mbeya tuwe wakarimu jamani.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Hivi juzi juzi tu wakati mshahara haujaingia tulilalamika sana na kutoa maneno mengi, lakini pesa imeingia mbona hatusemi?

Mie naanza, jamani huku Kyela hela imeingia kwenye account zetu. Na wengi/wafanyakazi wa huku wapata chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…