Tunaohangaika kwenda nchi za watu kusaka maisha tukutane hapa!(Kusoma au kazi)

kindili kindili

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
242
Reaction score
54
Najua kabisa kama mimi watakuwepo wengi tu, tunaohangaika kwenda kujaribu life nje ya nchi.
Katika pita pita zangu nmekutana na makampuni yanayosaidia kupata scholaship(Moja kati ya njia ya kwenda huko) kama zifuatazo:

Bero Tanzania hawa wanakusaidia kupata scholaship China na bei zao sio mbaya sana.
Elimu solution: wametaja nchi wanazosaidia kwa website yao
Global Link: hawa wanakusaidia admission na travel arrangements
EBC study abroad: hawa wana nchi za ulaya na America(Wao wanakusaidia kupata sholaship)


Tutajieni zingne mnazojua au pia namna nyingne za kufika huko, ikibidi mtusaidie. Mimi binafsi yangu natamani kwenda Canada, kusoma au kufanya kazi na badae kurudi nyumbani Mungu akitupa uzima.

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…