Tunaoishi Mabondeni na kwenye Miundombinu mibovu, Kifurushi cha Mvua ya Alhamisi na Ijumaa ijayo si Kizuri Kwetu

Tunaoishi Mabondeni na kwenye Miundombinu mibovu, Kifurushi cha Mvua ya Alhamisi na Ijumaa ijayo si Kizuri Kwetu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ni kwamba Kifurushi cha Jana Jumatatu tarehe 5 kilichopiga Kutwa nzima ni cha Mtoto ila Kifurushi cha Alhamisi ya tarehe 8 na Ijumaa tarehe 9 ni cha HATARI zaidi kwani kitakuwa ni Kikubwa na chenye Madhara kwa tunaoishi Mabondeni na katika Miundombinu mibovu.

Mimi MINOCYCLINE sasa naanza Kuhama hapa Mabondeni hivyo nawaomba wana Mabondeni Wenzangu tuchukue Tahadhari kwa Kuhama kabla hali haijawa mbaya Kwetu kisha yakitukuta ya Kutukuta tuanze Kuilaumu Serikali na Watendaji wake.
 
Back
Top Bottom