Tunaojaza fomu za bodi ya mkopo kwa mara ya kwanza

Tunaojaza fomu za bodi ya mkopo kwa mara ya kwanza

huqer7pro

New Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Jamani nimelipia fresh heslb pesa yao kwa m-pesa na nimepata zile code . .
tatizo kila nikijaza ile form yao ya online wananiambia hii mesej "the index number you have entered is NOT VALID or you have not completed form four after 1987 . . na nimerudia zaidi ya mara kumi hamna nilipokosea , kila kitu nimejaza poa . . .
Waungwana inakueje hapooo???:A S 20::A S 20::A S 20:
 
kuna wakati unakosea code # unaweza kuwa unaweka namba badala ya herufi. but 4 more info col them watakwambia reason behnd buddy. kila la kheri
 
Mkuu hata mimi nimepata the same message wakati namjazia mdogo wangu, niliwapigia ijumaa hakuna msaada wowote walionipatia.
 
Jamani nimelipia fresh heslb pesa yao kwa m-pesa na nimepata zile code . .
tatizo kila nikijaza ile form yao ya online wananiambia hii mesej "the index number you have entered is NOT VALID or you have not completed form four after 1987 . . na nimerudia zaidi ya mara kumi hamna nilipokosea , kila kitu nimejaza poa . . .
Waungwana inakueje hapooo???:A S 20::A S 20::A S 20:

Hao hawajafanya mitihani ya diploma kweli? kama ni form six wasubiri matokeo kwanza bodi aihami tatizo hapo si namba ya Mpesa tatizo ni index number ya mtihan either form four diploma au form six. system inashindwa kuzitambua.
 
Back
Top Bottom