KERO Tunaojifunza magari VETA Mbeya, magari mengi ni mabovu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nimeona andiko la Mdau kutoka VETA kuhusu changamoto ya Forklift upande wa Dar, upande wa Mbeya hali ni hiyohiyo, hali ya masomo ya udereva yamekuwa magumu, magari hakuna kwahiyo Serikali ituangalie.

Magari mengi ni mabovu, kwa mfano wiki ya tatu sasa madereva wa malori wanazungushwa mtihani wa vitendo.

Ujumbe huu umfikie Mkuu wa Chuo cha VETA Mbeya kwenye upande wa madereva hawatufanyi vizuri watuletee magari ya kuelewaka kwenye mafunzo, unakuta kozi ipo lakini practical gari hazipo.
 
Yani kama mtu una
Yani kama mtu unaela bongo siyo sehemu ya kusoma kbs. Hamna sehemu taenda utakuta pako perfect angalau private sector wapo vzr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…