Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Na hizi Vodika zinatokea msumbiji hapo [emoji23][emoji23][emoji23]Barimi zinatoka zambia hizo..hatari sana mkuu
Zinatoka kanda ya ziwa 'Balimi' humaanisha 'wakulima'.Barimi zinatoka zambia hizo..hatari sana mkuu
Kumbe anamaanisha balimi zile za wasukuma..mimi nikadhani barimiZinatoka kanda ya ziwa 'Balimi' humaanisha 'wakulima'.
Hizo ni bia za wakina Bhebhe nyanda.
HahahaNa hizi Vodika zinatokea msumbiji hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo hizo za 'wasu'Kumbe anamaanisha balimi zile za wasukuma..mimi nikadhani barimi
Kwa ambao uwezo wa kufikili umepunguaTupo ambao tumestaafu kunywa hiyo midude unatuweka kundi lipi?
Hii inatwa nguvu ya mwanaume the barimiBarimi zinatoka zambia hizo..hatari sana mkuu
Sisi ni wanywajiKuna Watu Wanasema Usimsikilize Mlevi
Nyie ndio mnao rudi nyumbani mapemaNa tunaokunywa coca cola kisha tunalewa, siye tutakuwa wageni wa nani?
Aiseee... hata si kweli.Nyie ndio mnao rudi nyumbani mapema
Aiseee... hata si kweli.