Tunaokwerwa na SMS za Promo tukutane hapa tafadhali!

Mimi nilishawapigia sana tigo.mixer kuwatukana lakini wapiii.
Nimeamua kukaa kimya.kuna wakati upo na bize na mambo yako.inaingiza meseji kumbe promosheni ya kubet.inakera sanaa.
TCRA msaada tafadhari.
Yaani simu inajaa mimeseji yao tuuu.
 
Mimi nilishawapigia sana tigo.mixer kuwatukana lakini wapiii.
Nimeamua kukaa kimya.kuna wakati upo na bize na mambo yako.inaingiza meseji kumbe promosheni ya kubet.inakera sanaa.
TCRA msaada tafadhari.
Yaani simu inajaa mimeseji yao tuuu.
Hili suala nafikiri unatakiwa tupatikane wadau kwa wingi ili tuangalie njia muafaka kisheria ya kuwawajibisha hawa makabaila mkuu. Inakera sana.
 
Afadhali hatotel,tigo ndo pasua kichwa. Ikitokea umetuma SMS huku ukiwa hujui kama bando limeisha utatumiwa SMS za salio halitoshi kama hamsini hivi kwa mkupuo[emoji4] [emoji4]
hahahhahaha nikweli
 
Tatizo la hii app inataka mpaka uifanye ndiyo iwe default sms app. Hapo tu ndo wananikera
 
Nilidhani niko mwenyewe hao boompesa. Cha ajabu wanatuma kwenye line ya tigo sijaona wakinitumia kwenye voda au airtel.
ongezea na sms za magic hahahaa me nachukiaga halaf najikuta sina namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…