Aisee nimekuelewaMe sinywi? wala sitafuti bwana lakini maisha ya watu wengine hayawezi niwasha mkuu
Acha kujipendekeza dogo..foolish
Woooii me nimekaa sehemu tulivu tuu nikinywa natakapika huyoo [emoji23][emoji23][emoji23] atleast cocktail kidogoRusha nawe basi,,hao wapiga kelele tu upweke unawasumbua
Hongereni Mods kumpa ban huyu kichefu chefu. Alizidi
Utanifanya nikatafute chakula saa hizi
NjooUtanifanya nikatafute chakula saa hizi
Nielekeze nije.Njoo