Tukiibiwa?Tunazimana
Nimefurahi unavyowasimikia gia kuelekea 2018Kuna watu roho zao chuki chuki tu khaa
La Grants siyo mchezo ukizingatia watu nati zilivyokaza......!Heheheh
Ha ha...basi nakuja kunywa.Nani wa kutuiba ,hakuna labda Li.... Linaumwa bana mpaka sina raha
Twende wote...Ha ha...basi nakuja kunywa.
Mimi sipandi bajaji wala Toyo.Twende wote...
Nikukute hujazima tu.Njooo wahi
Mkuu anga zipi hizo na mm nianze kuteleza taratibu angalau tuvuke pamoja.....!Hahahahaha tunakunywa tu
Singo maza on the beatView attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee