GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa kama kuna Matunda matamu lakini ni Magumu kuyala kama usipokuwa Imara ni ' Maembe ' ya kutoka Mkoani Mtwara. Ila pia hakuna Mkoa ambao una Mawe magumu na hatari tena yaliyo na Ncha Kali ambayo inaweza Kufanya Embe la Mtwara ' limenyeke ' lenyewe Kiulaini kama yale ya Mkoani Geita.
Ila nimesikia Watanzania wanayasifia mno ' Maembe ' ya Mkoani Mtwara wakisema kuwa hata yakidondoka katika ' Mawe ' yenye Ncha Kali ya Mkoani Geita kamwe hayawezi ' Kumenyeka ' kiurahisi. Mwaka huu huu kabla ya Mwezi Oktoba au baada ya Mwezi Oktoba na ikichelewa sana basi Mwakani nitayabeba Maembe ya Mtwara nikayapambanishe na Mawe Makali ya Mkoani Geita.
Lakini kwa Uzoefu wangu mkubwa wa hasa ' Jiwe ' moja Kubwa hivi lilipo Mkoani Geita nina uhakika wa tena 100% kuwa haya ' Maembe ' yanayosifika kwa kuwa Magumu ( na Ugumu ) nikiyamenyea tu katika hilo Jiwe hayatanisumbua na nitayala vizuri tu na huenda hata Wakulima wa Maembe wa Mkoani Mtwara nao sasa wahamia rasmi Geita, kuomba Hifadhi na kuwa Wakulima huko.