Tunaomba halmashauri ya wilaya ya Buchosa ilipe hela ya kujikimu kwa watumishi wa ajira mpya 2026

kami boe

New Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1
Reaction score
1
Halimashauri ya wilaya ya Buchosa haijalipa fedha ya kujikimu kwa watumishi wa umma toka mwezi wa tatu hadi sasa na tushafuatilia tukaambiwa mtapewa sasa hatuelewi tutapewa lini ingali ni miezi sita imepita.
 
Yani hizi hela bado tu, mnaziomba πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ila masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…