Tunaomba kulipwa malimbikizo ya mishahara ya nyuma (salary arrears)

FUNBACT

New Member
Joined
Jul 8, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Sisi watumishi wa serikali ambao tunadai malimbikizo ya mishahara ya nyuma(salary arreas) TUNAOMBA KULIPWA.

Naomba kuwasilisha kwa serikali.
 
Nilijua unaomba mishahara isitozwe tozo jaman

Malimbikizo unalipwa halafu inakatwa tozo
 
Sisi watumishi wa serikali ambao tunadai malimbikizo ya mishahara ya nyuma(salary arreas) TUNAOMBA KULIPWA.

Naomba kuwasilisha kwa serikali.
Kama mnaombwa kulipwa, subirini kwanza Serikali haina pesa kwa sasa subirini tuzue tozo nyingine ndo tuwafikirie
 
Sisi watumishi wa serikali ambao tunadai malimbikizo ya mishahara ya nyuma(salary arreas) TUNAOMBA KULIPWA.

Naomba kuwasilisha kwa serikali.

Nimesikia, tutalishughulikia ombi lako.
 
Back
Top Bottom