F FUNBACT New Member Joined Jul 8, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Jul 30, 2022 #1 Sisi watumishi wa serikali ambao tunadai malimbikizo ya mishahara ya nyuma(salary arreas) TUNAOMBA KULIPWA. Naomba kuwasilisha kwa serikali.
Sisi watumishi wa serikali ambao tunadai malimbikizo ya mishahara ya nyuma(salary arreas) TUNAOMBA KULIPWA. Naomba kuwasilisha kwa serikali.
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,743 Reaction score 13,657 Jul 30, 2022 #2 Nilijua unaomba mishahara isitozwe tozo jaman Malimbikizo unalipwa halafu inakatwa tozo
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Jul 30, 2022 #3 Mnaomba au mnadai? Haki haiombwi, haki hudaiwa.
M mkaruka ataja rinu JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 3,527 Reaction score 2,469 Jul 30, 2022 #4 FUNBACT said: Sisi watumishi wa serikali ambao tunadai malimbikizo ya mishahara ya nyuma(salary arreas) TUNAOMBA KULIPWA. Naomba kuwasilisha kwa serikali. Click to expand... Kama mnaombwa kulipwa, subirini kwanza Serikali haina pesa kwa sasa subirini tuzue tozo nyingine ndo tuwafikirie
FUNBACT said: Sisi watumishi wa serikali ambao tunadai malimbikizo ya mishahara ya nyuma(salary arreas) TUNAOMBA KULIPWA. Naomba kuwasilisha kwa serikali. Click to expand... Kama mnaombwa kulipwa, subirini kwanza Serikali haina pesa kwa sasa subirini tuzue tozo nyingine ndo tuwafikirie
Maulaga59 JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 2,984 Reaction score 2,971 Jul 30, 2022 #5 FUNBACT said: Sisi watumishi wa serikali ambao tunadai malimbikizo ya mishahara ya nyuma(salary arreas) TUNAOMBA KULIPWA. Naomba kuwasilisha kwa serikali. Click to expand... Nimesikia, tutalishughulikia ombi lako.
FUNBACT said: Sisi watumishi wa serikali ambao tunadai malimbikizo ya mishahara ya nyuma(salary arreas) TUNAOMBA KULIPWA. Naomba kuwasilisha kwa serikali. Click to expand... Nimesikia, tutalishughulikia ombi lako.