Jitihada zao za kuiua CHADEMA zinawafanya wawe kama wendawazimu!!Hawa wahuni wanatapatapa tu. Huu ujinga wao hautawafikisha popote. Binafsi nina kadi ya ccm, lakini ninaunga vuguvugu mabadiliko kwa 100%
Na mimi watanifanya nini? Maana ninatambua fika kwa sasa hakuna chama cha siasa kinachoitwa ccm! Badala yake kuna kikundi tu cha watu wachache waliojimilikisha hiyo ccm kutokana tu na nguvu yao ya pesa.
nonsenseKwa sasa nimeshindwa kuelewa wakihisi kwamba sio CCM .Wakikukamata wa kikukagua wakakuta una kadi ya CHADEMA au kukupekuwa nyumbani kwako basi vyombo vya ulinzi unatafutiwa kesi.
Je vitendo hivi vyombo vya ulinzi vituoneshe sheria hipi kwa sasa imeingizwa.
Moderator unaweza kuweka idara zinazohusika.
Jalala linawezaje kutambua vitu visafi?nonsense
nonsense and completely uselessJalala linawezaje kutambua vitu visafi?
Nakubaliana na wewe... Ukiona kaniki jeupe ujue hiyo ni sanda na si kaniki...nonsense and completely useless