Tunaomba mrejesho kutoka Yanga

Tunaomba mrejesho kutoka Yanga

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Tunaomba mrejesho juu ya uanzishwaji wa mfumo wa shea, maana hatuna taarifa rasmi.
 
tunaomba mrejesho juu ya uanzishwaji wa mfumo wa shea,maana hatuna taarifa rasmi
Muambiwe Mara ngapi kwamba Simba na Yanga ni timu zinazomilikiwa na serikali?

Wamiliki wakiamuwa wanafanya hivyo, wasipoamuwa wataendelea kuwakodisha GSM na Mo Dewji waendelee kuziendesha.

Wabongo mna vichwa vigumu sana kuelewa jambo Dogo tu, kama wewe ni mpenda hisa nenda DSE makampuni yote yanayouza hisa yako pale lakini siyo Simba na Yanga.
 
Back
Top Bottom