Muambiwe Mara ngapi kwamba Simba na Yanga ni timu zinazomilikiwa na serikali?
Wamiliki wakiamuwa wanafanya hivyo, wasipoamuwa wataendelea kuwakodisha GSM na Mo Dewji waendelee kuziendesha.
Wabongo mna vichwa vigumu sana kuelewa jambo Dogo tu, kama wewe ni mpenda hisa nenda DSE makampuni yote yanayouza hisa yako pale lakini siyo Simba na Yanga.