W Waambi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 737 Reaction score 81 Jan 17, 2013 #1 Newhabari wanalipa TRA lakini hawataki kulipa michango ya wafanyakazi. Naomba msaada wa kisheria tufanyeje ili kuwashinikiza walipe michango yetu ya PPF?
Newhabari wanalipa TRA lakini hawataki kulipa michango ya wafanyakazi. Naomba msaada wa kisheria tufanyeje ili kuwashinikiza walipe michango yetu ya PPF?