Ndezi mwenyewe. Mliambiwa tangu mwanzo mfuate proper channels za malalamiko. Unadhani DC Godwin Gondwe alienda pale kwa kufuata majungu ya fake ID huku JF? Kuna wenzio wenye akili timamu walichukua hatua sahihi, na siyo makelele ya kiswahili cha la saba humu.