Tunaomba serikali ipige marufuku matamasha ya kidini

Tunaomba serikali ipige marufuku matamasha ya kidini

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimeona moja ya sababu ya kumwondoa Kiboko ya Wachawi ni wizi utapeli kumwona 500000

Nimeona pia mtudaiidie kuna dini zingine wanaanzisha matamasha tena kila mkoaaa na ule wenye hela nzuri wanaongeza viingilio

Hapo hapo ukute wameshapokea mahela ya t-shirt soksi na majeans yao

Haya matamasha yawe bureeeee wananchii wakatie sadaka wanavyotaka na sio kushindwa kupokea upakooo kisa kiingilioo
 
Back
Top Bottom