AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Hii ni kwa maslahi ya wananchi... Kinachopelekea uzembe na kudorora kwa utoaji wa huduma kwa wananchi ni Kwamba... Wana uhakika wa mshahara bila kujali mauzo...
Ingebidi wawe wanawapata malipo kulingana na wanavyouza wangekuwa na adabu na kujituma.
Kwa mfano TBC wanajua kabisa... Uangalie ama usiangalie wao wana uhakika wa mshahara.
Mimi ningekuwa rais... Mashirika yote ya serikali ambayo yanauza ama kutoa huduma kwa watu... Yawe yanajitegemea kila kitu kama yalivyo mashirika binafsi... Yaani hata mishahara yao itokane na kile wanachouza. Mfano TANESCO, DAWASCO... Utalipwa mshahara kulingana na mauzo kampuni imeingiza kwa mwezi husika.
Tanesco wangekuwa wanajitegemea mishahara na posho... Nakwambia ukienda pale ofisini lile daftari lenye list ya wanaoomba huduma ya kuungwa umeme ingeisha haraka. Zile simu za wateja wangezijali haraka.
Dawasco vilevile wangekuwa chap sana kujali wateja wao, watu wangeungwa haraka sana maji ili wawe na uhakika wa pesa kuingia ofisini. Yale mabomba yanayotiririsha maji mitaani yangerekebishwa kitambo sana, because it is business.
TBC wangejitahidi waboreshe quality ili wameet standards za soko... Na watangazaji wao wangekuwa bora sana pamoja na vipindi vyao... Ila sasa hivi ni matapishi tu.
Shule zote za serikali na vyuo navyo vingejitahidi kujali wateja na wanafunzi wao na kutoa huduma bora.
HOSPITALI ZOTE ZA SERIKALI TUSINGEKUWA TUNASIKIA UZEMBE WA MADAKTARI NA MANESI KAMA WANGEKUWA WANATEGEMEA MALIPO YAO KULINGANA NA HUDUMA WANAYOTOA.
HIYO YOTE NI KWA SABABU YOU EARN AS YOU SERVE.
Posho yako itategemea na umefanya kazi gani... Mfano Tanesco... Posho itategemea wateja waliokuja kuomba huduma wakalipia na ukawahudumia haraka na kwa uzuri wa kuridhisha.
Ukiwa mzembe hupati kitu.
SERIKALI ACHENI KUDEKEZA MIJITU MIZIMA.