Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Tunaomba taasisi za Serikali waweke namba zinazopatikana kwenye mtandao. Kimsingi ni vigumu kupata mawasiliano kwa kutumia namba za simu zilizoko kwenye mtandao kwani nyingi ya namba hizo hazipatikani kwa sababu tofauti tofauti (ni mbovu, hazijalipiwa au hazitumiki tena) nk.
Baadhi ya watu hufanikisha mambo yao kwa kuwa na bahati ya kujua namba binafsi za wahusika kitu ambacho sio rahisi kwa wasio na hiyo bahati.
Singependa kuorodhesha hapa ila kwa ujumla tatizo nikubwa!
Baadhi ya watu hufanikisha mambo yao kwa kuwa na bahati ya kujua namba binafsi za wahusika kitu ambacho sio rahisi kwa wasio na hiyo bahati.
Singependa kuorodhesha hapa ila kwa ujumla tatizo nikubwa!