lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 276
- 574
Tunaomba TANESCO watuambie ukweli kuhusu ongezeko katika kodi ya jengo. Awali kupitia barua waliyotoa tarehe 2 July 2024 walisema ongezeko hilo ni kwaajili ya madeni ya nyuma! Sasa tunaomba kufahamishwa baada ya makato hayo gharama zitaendelea kuwa zile zile za awali ambapo ni 1500 au ni 2000? 🤔