Ni arrearsTunaomba TANESCO watuambie ukweli kuhusu ongezeko katika kodi ya jengo. Awali kupitia barua waliyotoa tarehe 2 July 2024 walisema ongezeko hilo ni kwaajili ya madeni ya nyuma! Sasa tunaomba kufahamishwa baada ya makato hayo gharama zitaendelea kuwa zile zile za awali ambapo ni 1500 au ni 2000? 🤔
Mkuu makato ni yale yale 1500 kwa majengo ya kawaidaTunaomba TANESCO watuambie ukweli kuhusu ongezeko katika kodi ya jengo. Awali kupitia barua waliyotoa tarehe 2 July 2024 walisema ongezeko hilo ni kwaajili ya madeni ya nyuma! Sasa tunaomba kufahamishwa baada ya makato hayo gharama zitaendelea kuwa zile zile za awali ambapo ni 1500 au ni 2000? 🤔
Ni 6000 ...Mkuu makato ni yale yale 1500 kwa majengo ya kawaida
Umenunua umeme mara ya mwisho lini?Mkuu makato ni yale yale 1500 kwa majengo ya kawaida