Tunaomba ukimya huuhuu pale Yanga akianza kupiga hizo 4,3 kama nyie na Akija kuwapiga na nyie 5 msije kusema Bahasha

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Kiukweli Wanalunyasi tunaona mnakiwasha sana mnajipigia tu leo 3 akija huyu 4 sijui anaefata mnapiga ngapi?

Si hatuwaingliii jipigieni hivohivo nyie akikaa vibaya hata Azam pigeni 7😁😁

NB:Ila Ombi ni moja tu Pale Team inayojielewa ikianza kusambaza vipigo ya 5G hadi kwenu.. tunaomba mkae kimya sisi hatujasema bahasha tumeamua kuheshimu Matokeo yenu..Na tunawapongeza ila na sisi tukianza msije kuanza kusema Bahasha na kufukuzana.

#Jioni Njema WanaJamhuri
 
Mbumbumbu wanacheza na team za umiseta wanafurahia
Ngoja wananchi wababe tukianza kusambaza 6 watasema GSM asidhamini teams
Vitalo angecheza na Sinza Star ya kina Mansuli mbona angekufa nyingi.

Wachezaji kama kina Chama wangeonekana wengi sana siku hiyo na wala hata isingekuwa habari kubwa
 
Vitalo angecheza na Sinza Star ya kina Mansuli mbona angekufa nyingi.

Wachezaji kama kina Chama wangeonekana wengi sana siku hiyo na wala hata isingekuwa habari kubwa
Juzi umesahau nimechukua ngap ya jamii Kwa kukupiga kipigo cha mbwa mwizi
Na Sasa hesabu unasoma 8_2

Simba na vitalo ni sawa
 
Juzi umesahau nimechukua ngap ya jamii Kwa kukupiga kipigo cha mbwa mwizi
Na Sasa hesabu unasoma 8_2

Simba na vitalo ni sawa
Kipigo cha mbwa mwizi goli 1?

Tena kwenye kikosi ambacho kipo trial?
 
Vitalo angecheza na Sinza Star ya kina Mansuli mbona angekufa nyingi.

Wachezaji kama kina Chama wangeonekana wengi sana siku hiyo na wala hata isingekuwa habari kubwa
😁😁😁
 
kweli kabisa. wanatabia ya kulaumu bahasha wakiona joto la Yanga,
 
Kwa hiyo unalalamika au unaomba muwafunge timu zingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…