Tunaomba uongozi wa Jamiiforums umualike msemaji mkuu wa Serikali humu ili tumuulize maswali mubashara

Tunaomba uongozi wa Jamiiforums umualike msemaji mkuu wa Serikali humu ili tumuulize maswali mubashara

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba uongozi wa JamiiForums umualike Msemaji Mkuu wa Serikali tumuulize maswali ya moja kwa moja.

Aa serikali ifungue akaunti yake rasmi humu JamiiForums ili madukuduku yetu yafike moja kwa moja ikulu.

Akhsante.
 
Tunajua Mh Rais anapitia humu ila tunataka tuyamwage tuliyonayo kwenye kapu moja ili kumpungumzia muda wa kuperuzi majukwaa kibao.

Jamii forum ni kubwa inamitaa mingi sana sasa tunataka tukutane na mama kwenye kapu moja akiingia tuu anakutana na pongezi malalamiko maboko shutuma ushauri nk kwa mpigo.
 
unnamed.jpg
 
Mr Thobias Makoba msemaji mkuu wa serikali karibu sana jamiiforums.
 
Huu ndio mdomo wa serikali akisema yeye habari inakuwa valid clear and authentic.
 
Back
Top Bottom