Wa Bagamoyo
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 118
- 12
Habari ndugu wa hili jukwaa . Tafadhalini tunawakaribisha katika ukurasa wa Elimu Yetu Tanzamia ili kupata michango yenu yenye kujenga na kuona ni jinsi gani tunaweza kufanya sekta yetu ya elimu inakuwa. Tunafahamu kuwepo kwa mashirika mengi tu yanayohusika na masuala ya elimu hapa nchni kama vile Haki Elimu na n.k, lakini pia sio vibaya na sisi pia tukianzisha kitu kama hichi ili kuisaidia sekta yetu ya elimu na pia kufanya kazi na hayo mashirika ili kuweza kufikia malengo yetu katika sekta yetu ya elimu hapa nchini. Tunawakaribisha sana katika kurasa zetu mbali mbali ndugu zetu ili mtusaidie kwenye hili naamini kila mtu ana uwezo wa kulijenga hili Taifa katika nyanja tofauti na ndio maana sisi vijana tumeona tutumie fursa hii ili tuweze kuifikia jamii katika nyanja ya elimu. Ahsanteni sana. Tembelea hapa www.facebook.com/tanzania.elimu www.twitter.com/ElimuTanzania na www.elimutanzania.wordpress.com kwa mchango wako