Tunaomba vyuo vya Serikali vijengwe mkoa wa Ruvuma pia

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Huu mkoa haukui upo, upo tu!!! Vyuo vinasaidia sana mji kukua, Wilaya ya Songea imepoa mji uko vilevile miaka nenda rudi!

Of course kuna vyuo,lakini kwa upande wangu naona havisikiki kabisa kuna chuo cha sauti, kilifungwa kimefunguliwa kitu ambacho kimefanya nikione kama chuo cha magumashi.

Kuna Top one in, ambacho ni Chuo cha Afya, huko nyuma ilikua hotel.yani hiki chuo, sipendagi hata kukisikia. Halafu kuna hiki St. John, nacho kilifungwa kikafunguliwa. Yaani ni vyuo vya ajabu ajabu tu!!!! Vinafungwa vinafunguliwa vinaleta utata sana, Ujui kama vimesajiliwa.kwanini vifungwe,na kufunguliwa? means havijakidhi vigezo.

Tunaomba chuo kinachohusiana na Biashara, na vyuo vya Afya,vijengwe katika mkoa huu katika wilaya ya (Songea) mana ndio mji mkuu, wa mkoa wa Ruvuma. ikiwezekana vyuo viwe vya serikali.Mkoa umepoa mno! Mkoa upo nyuma kimaendeleo, Mkoa haukui.
 
Ruvuma si mkoa mzima CCM mkome
 

= serikali

 
Serikali ipo wapi haioni wabunge wetu wanasinzia tu bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…