Tunaombeni jibu nyie wanaume

Wasio wanafki watasema ukweli ila wenzangu na Mimi kina Mr. Perfect utaona watakavyokuja kuandika mashairi
Ndio utaona sina dada weweeee kwani mtoto wa mamdogo si ni dada jamanii [emoji57][emoji57]
 
wanawake wa siku hizi ......... nimewatafsiri kama wanawake wote wa rika langu na wadogo zangu, hapa mama, shangazi, wakwe, hawamo coz sio katika kizazi changu, naamaanisha sio wa rika langu!

dadangu mmoja kazalia hme, tena mjomba nasaidia matunzo, dadangu mwingine kawekwa kinyumba na basha ake.... bila ndoa.... so kauli yako ni sahihi!
 
nilikumiss dada angu Mama Sabrina

tukirudi kwenye mada yako.. mimi huwa napenda kutumia kalaw ka newton kwenye haya mambo...

action and reaction are equal but opposite in direction

yaani unachofanyia dada wa wenzako na wenzako ndicho hichohicho wanachomfanyia dada yako..

unachosema kuhusu dada wa mwenzako ndicho hichohicho wenzako wanachosema kuhusu dada yako

i know the feeling ninezaliwa mvulana peke angu got two elder sisters and one litle sis.... kuna siku niliamua kukachunguza haka kadogo maana niliona kanazidi kuwa busy na simu nilichokutana nacho sitoweza kukitaja

ila tu wanaume wenzangu kaeni mkijua kila unachofanyia dada wa mwenzako na kumuona huyu demu mjinga kweli na ndio njemba wenzako wanachofanya kwa dada ako tena ukute ni zaidi ya ww unachofanya dada za watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vp Kwa Mie Ambae Ndio Nauona Leo Huo Msemo Nikimaanisha Sijawah Usikia Wala Kuutamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…