Huu uzi ni wa lini?? Labda utanielewa!Mkuu.
Nimetanabaisha wazi hapo Juu! Ni ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara.....
Naona unapata shida kuamini hili...
Ila nakuomba tu uendelee kuamini..
.
Kojoa ulaleMkuu.
Nimetanabaisha wazi hapo Juu! Ni ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara.....
Naona unapata shida kuamini hili...
Ila nakuomba tu uendelee kuamini..
.
yanga kuna mgomo baridi.Naona mmejawa na furaha! Endeleeni tu kufurahia.....
Ila napenda kuwakumbusha kuwa kwenye Msimamo wa VPL mko nyuma ya YANGA SC kwa zaidi ya alama 1.....
The fact that
1. Uko nyuma kwa zaidi ya alama moja dhidi ya Wanajangwani.
2. Bila kusahau zimebaki mechi chache ligi kufikia tamati.
3. Kikosi kizima cha wapinzani wenu wako on-form.
Basi watani zangu msitarajie Yanga SC kupoteza hata "ALAMA" moja kutoka kwenye hizi chache zilizo salia....
"Naomba nitoe kiapo hiki mbele yenu..."
Dar es Salaam Young African SC ndio Bingwa halali wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2016/17.
Hahahahayanga kuna mgomo baridi.
pesa hakuna. mshahara wachezaji hawajalipa
Mbona mnaota ili hali jua lime kwisha chomoza?Mpaka sasa tunaongoza na point zetu za kagera tunapewa,mkishinda mechi zote bado tutawaacha point moja,usitegemee pia simba kupoteza mechi
naniii kasema???Mpira unadunda lakini sio VPL ambapo GIANT kama Yanga SC anatafuta alama 3...........
Hakuna wa kumzuia... Na nyinyi hilo mwalijua kabisa...
Mpira unadunda lakini sio VPL ambapo GIANT kama Yanga SC anatafuta alama 3...........
Hakuna wa kumzuia... Na nyinyi hilo mwalijua kabisa...
Mtani! Hili sio povu....Nakuona nakuona mtan unamwaga povu