Tunaoogopa mawashawasha wakati ni wanaume rijali tukutane humu

Aisee kuna madudu yanaitwa washawasha au itching caterpillars hao nawaogopa kuliko kawaida naweza kupa hela yoyote nilionayo nikiona umelishika hasa lile lenye manyoya na macho

Mungu niepushe nisikutane nayo wewe waujua udhaifu wangu.
Sifa ya mwanaume ni kupambana hadi sekunde ya mwisho sasa wewe endelea kujilegeza
 
Hawa ndio wanaotudhalilisha Wanaume wa Dar..
Mkuu kuna comando mmoja wa USA seal team six alikuwa anahojiwa kwenye channel moja akasema anaogopa mno spider buibui sasa hata Mimi ni ngangari sana ila kwa washa washa hapana aisee tena ulikute juu ya mti limejikamafleji weeee
 
aiseee Mimi Bwana huwa naogpa sana ng'ombe aiseee
 
aiseee Mimi Bwana huwa naogpa sana ng'ombe aiseee
Niko form three nataka kufanya mchezo mbaya na mtu nyuma ya zizi la ng'ombe sasa pensi imeshuka chini kurahisisha unyonyaji wale ng'ombe nahisi waliona wivu.

Mmoja alitoka akaanza kutukimbiza mimi pensi ipo kwenye ankles najitahidi kukaza mwendo nazungushana naye kwenye banda. Akiwa huku mi kule akiwa kule mi huku.

Wenye nyumba wakatoka na mapanga (nahisi walidhani mwizi) nikaona leo nitakufa nikatoka spid nikadandia ukuta nikasepa.

Pensi ilibaki pale pale, saa tisa usiku haikua ishu kutembea na boxer iliyochanika.

Sina uhusiano mzuri na ng'ombe tangu kipindi hicho.
 
Hahahaaaaaa hahaaa hahaaaa hahaaa .. mkuu hilo tukio ", lililokukuta", nadhani", lilisababisha ",usidinde mwezi mzima"". NILIPOKUW mdogo" niliwahi kushuhudiA " ng'ombe akimchota mjomba wangu mzima mzima na mapembe yake'' AISEEEE MPAKA LEO HII URAFIKI NA NG'OMBE SIUHITAJI Kabisaaa
 
Maajabu haya
hahaaa maajabu " nini sasa ",wakati wewe waogopa ",washa washa",,afadhali yangu mimi Nina nafuu",..daaah kwanza ng'ombe Niki on a Gael Yale macho yake akikukata jicho tu "" aisee huwa nahisi kama anataka kunitoa mbio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…