Tunaopata pesa nyingi awamu hii ya tano kuliko ya kikwete tukutane hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kuna watu Hadi nawaonea huruma wanavyolalamika kwamba hawana hela Mimi binafsi nawashangaa Sana wazo la kwanza linalokuja huwa nahisi hawafanyi kazi wavivu.mbona sisi wengine michongo yetu imekaa vizuri awamu hii ya Magufuli kuliko hata huko nyuma.kwa Sasa tunapiga hela kupitia hizihizi biashara pamoja na kwamba watu wanalalamika mifukoni hawana kitu lakini mbona bidhaa zetu wananunua kama kawaida Tena kwa wingi.tuweni wa kweli pesa zipo jamani minadani na masokoni tunawauzia watu vitu na tunapata faida shauri yenu mliokaa ndani kidandara mtashtuka lini?
 
Ningekupa tusi sema ni dhambi
Acha ninyamaze.
 
Dah...mie deili lazima nitupie jero kwenye kibubu...maisha safiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu Hadi nawaonea huruma wanavyolalamika kwamba hawana hela Mimi binafsi nawashangaa Sana wazo la kwanza linalokuja huwa nahisi hawafanyi kazi wavivu.mbona sisi wengine michongo yetu imekaa vizuri awamu hii ya Magufuli kuliko hata huko nyuma.kwa Sasa tunapiga hela kupitia hizihizi biashara pamoja na kwamba watu wanalalamika mifukoni hawana kitu lakini mbona bidhaa zetu wananunua kama kawaida Tena kwa wingi.tuweni wa kweli pesa zipo jamani minadani na masokoni tunawauzia watu vitu na tunapata faida shauri yenu mliokaa ndani kidandara mtashtuka lini?
Kuna uzi wenu huko...
 
Back
Top Bottom