Hii ni mikoa ya Tanzania ambayo nimeweza kuishi kwa kipindi nilichoishi duniani
1. Dar es salaam ( miaka 20)
2. Morogoro (miaka 4)
3. iringa (wiki 2)
4. Kilimanjaro (mwezi mmoja)
5. arusha ( miezi 8)
6. lindi (mwezi mmoja)
7. mtwara (mwezi mmoja)
8. Pemba(north&south)- miaka 2
9. Unguja (mwaka 1)
10. Pwani (miezi 6)
11. Tanga (nimepita tu wakati naelekea Arusha)
Mikoa ninayotamani kufika
Kagera, Kigoma, Dodoma na Mwanza.
Nchi nilizotembelea
1. Uingereza (wiki mbili)
Hapa niliishi East Greanstead ila nilifika maeneo mengi kama Brighton, Castle, London eye, Oxford university, ubalozi wa tz na BBC.
2. Kenya
Hapa niliingia tu na kutoka kupitia mpaka wa HOLILI nilienda hadi Taveta kwa wasomali.
Pia niliingia kupitia mpaka wa Namanga Arusha nilienda na kugeuza.
Nchi ninayotamani kwenda ni Brasil/Brazil hasa napenda nifike COPACABBANA BEACH nione dunia ilivyo huku nikipigwa na upepo wa bahari.
Karibuni tupeane uzoefu