Babuu hapa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaaa yaan. Si unajua tena mchepuko mizururo mingi, ko ndinga ni must. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalau awe anamiliki R/R[emoji16]
Nimejikuta tu,nipo hapa[emoji3061]Kuna watu wakorofi sjui tukuone naww kapicha kako kwenye ule uzi haya hii hapa[emoji1787][emoji1787][emoji3]View attachment 2179412
Kama haha?Kabisaaaa yaan. Si unajua tena mchepuko mizururo mingi, ko ndinga ni must. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waleteeeeeeee[emoji39]
Shusha simu kidogo, kisha toa hiyo emoji mgaa gaa bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama haha?
Maeneo yako jongea mjukuu wangu ukuye mema ya babuBabuu hapa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wapeeeee wapeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naanzaje kukuuwa?Niuwe tu
Wee muongo tyuuh hebu somesha bas, faster najoin hapo. [emoji23][emoji23][emoji23]Maeneo yako jongea mjukuu wangu ukuye mema ya babu
Naanzaje kukuua?
Pambana[emoji1476]Afe kipa afe bek lazima nichukue jiko[emoji28]
Ni sir or student?
Hapa tunataka utupie halisi kabisa bila chenga wala filterHapana semegi hiyo ni ya kindele[emoji23]
Sasa wewe hapo uko wapi semegi? Hebu acha masikhara, nitakunyima mdogo wangu!