Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Kama Mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mama kaniambia simu inaniharibu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman maisha yangu na enjoy mnoo, hadi kuna watu wanaona wivuuu.

Ila sasa nipunguze ujanja na u waru waru, mtoto wa mama mkwe ananisema wee lakini wapiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…