Mangole Valles Michael
JF-Expert Member
- May 30, 2021
- 338
- 683
Habarini wana jamvi, huu utakuwa uzi maalumu kwa wale tunaopitia wakati mgumu kiuchumi/ tulio drop na kufirisika.. na bado hatujasimama.
Binafsi mimi kwa sasa ni miongoni mwa watu wanaopitia kipindi hiki kwa sasa, nimeyumba sana nimeachana na watu niwapendao kwa sababu ya utafutaji (umbali umetutenganisha) nina miezi sita mpaka sasa sijalala kwenye kitanda na godoro.
Nilianzisha goli moja la kiosk fluani hivi unfortunately biashara haiendi poa naona inazidi kudidimia kabisa.
Japokuwa bado Nina idea ya biashara inayoendana na mtaji wangu huu mdogo kwa sasa isiyo aka kukaa kwenye frem. Idea zipo ina mipango kazi ndo kidogo nafeli hapo.
Wewe mwenzangu kwa upande wako vipi? Una mpango gani mpaka sasa?
Nb ukivuka kipindi hiki usisahau kuja kutoa abc ulivyofanikiwa kuvuka katika nyakati hizi.