Tunaosubiri mshahara wa Januari tukutane hapa

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
4,580
Reaction score
7,943
January ishaanza kufika ukingoni na saa tunasubiri ujira ambao ni haki yetu ya msingi. Najua kuna simbanking na internet banking lakini utamaduni wetu wa kupeana updates tuuendeleze.

Ukiuona mshahara tuambie mithili ya Waislam wanavyojuzana pindi mwezi unapoandama ili wale Eid
 
usijali utapewa tu taarifa kwa wenzio wenye fungu la wisho wa mwezi sisi wengine hata hatujui huwa inakuaje kuwa kwenye mshahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…