PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Leo tupo DY....
Sasa hivi tupo DZT nahisi mpaka November tutakuwa tumeingia Namba E
Nambe E Mwisho wa mwezi tu July hapo au early Tha
Thats it, umetisha!Nambe E Mwisho wa mwezi tu July hapo au early August
18 millionsHebu wajuzi wa magari naomba Msaada ,
Naipenda gari. Hii Rav 4 nyeupe au rush
Ili nimiliki chombo hii natakiwa makadirio niwe na kiasi kuazia ngapi ?
Zile gari nachopendea inafukuza mwizi kimya kimyaNaaam wenyewe wanakwambia ni Japanese Benz...😂😂😂
MaybeE September hapo wazeeee
Hiyo 35% ni nyingi pia barabara zenyewe zinazidiwa ndinga nyingi njia chacheInasemekana kuwa magari yanayoshushwa bandarini, 65% ni ya nje [IT]. Yanayosalia kwetu ni 35%.
Mkuu wewe bado tuuuNamba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...
Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.
View attachment 1888026
Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..
Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]
Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...
Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Bado W X Y Z.
Hii inamaanisha nini mkuu wapi kuna ahueni kukagulia nchini na kukaguliwa nje?