Tunaosubiri namba E tukutane hapa


Wanaokimbiza namba ni wanaonunua magari ya biashara na kazi zao, sio watu wanaonunua gari ndogo za kutembelea.

Namba haziwezi kujikongoja maana kuna watu wa dala dala. Watu wa malori na watu wa ma bus ya mikoani. Hao hawana muda wa kusubiri namba na huwa hawanunui gari moja moja..
 
[mention]Extrovert [/mention] kaka naomba kuuliza
Me najua kua ile herufi ya kwanza ya plate number ndio inaonesha upya wa gari kua imesajiliwa sio kitambo kuzidi zingine

Ila je zile herufi zinazofata nazo zina matter?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…