General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
- Thread starter
-
- #1,281
Bwana weee ikiingia namba E nitatafuta kapremio namba d kwa 7M alafu nimtafute [mention]Extrovert [/mention] akague kiufundi maama mimi sijui magari baada ya hapo ni kishoka tu
View attachment 2320788
Special number
Nina premio DN, cc 1999
Jipange
Sidhani kama hawaruhusu, ni watu tu hawana elimu/taarifa.Mbona hawaruhusu special number za namba E?
September haifikiMpaka september4
Kujua kupi kwingi, kukuelimisha ww ni sawa na kupoteza mdakujua kwingi nako ni tatizo nikushauri tu nemda TRA kapate elimu kwanza kabla ya kuwa mbishi.
Kazi ipo.Speed itapungua kidogo maana wabongo tunataka tuwe na namba E hasa wenye gari binafsi.
Watu wenye magari ya biashara kiasi watasaidia kusogeza namba
No. E watu wanazo mtaani, EAA 168 T Ipo mtaani, Gharama yake ni kubwa. Ukiskia Expensive Shits ndo hizi.Mbona hawaruhusu special number za namba E?
Ipo Siku nitaipiga Picha hiyo Vx.R piruuu kabisa na ni ABN 704 TKAMA KUNA MTU ANAJUA AU ALISHAWAHI KUONA GARI MPYA TOKA BANDARINI AU YARD IKASAJILIWA NA KUPEWA NAMBA YA ZAMANI AJE NA USHAHID. KUNA WAJINGA WA CHACHE WA NAONGEA UJINGA
Umenikumbusha permutation and combinationBado sana piga pamutation hapo tutasubiri sana
Mzee hizo gari ushajibiwa juu znamilikiwa na kina nani. Kwa nn mnakomalia hizo v8 na ukweli upo uchi kabisa kua wamilik wake ni kina flanIpo Siku nitaipiga Picha hiyo Vx.R piruuu kabisa na ni ABN 704 T
Here we go.DZZ wewe umeziona ngapi tofauti na ile T777DZZ?
Mi bado nina AUL tena iko garageTarehe 15 na 20 mwezi huu meli inamwaga vyuma vya kutosha...E inakua ndani ya nyumba hapo...[emoji23][emoji23][emoji23]