Tunaosubiri namba F tukutane hapa

Tunaosubiri namba F tukutane hapa

Armani William

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
248
Reaction score
744
Namba mpaka leo hii zimefika T 100 EAG. Unahisi itachukua muda gani kufika T 100 FAA tukiangazia kipato cha Watanzania kumiliki gari na uchumi wa dunia unavyoenda. Na wewe ukakamatia ndinga ya ndoto yako.
 
Attachments

  • IMG_20220901_001538.jpg
    IMG_20220901_001538.jpg
    44.4 KB · Views: 13
Dah mkuu una speed kali sana,haya ila siku hazigandi bana.
 
Z itakukuta kaburini 😂😂😂 kama namba E imeanza tayari tushavuka nusu ya expectancy ya maisha jua kutoboa Z labda uwe na roho ya Mwinyi 😂😂😂
mie najua nagonga 120 haina shida kabisa hiyo kama Musa wa kwenye bible miaka 120 na nguvu zake
 
Namba mpaka leo hii zimefika T 100 EAG. Unahisi itachukua muda gani kufika T 100 FAA tukiangazia kipato cha Watanzania kumiliki gari na uchumi wa dunia unavyoenda. Na wewe ukakamatia ndinga ya ndoto yako.
Kama NATO na Urusi hawatafumuana nyuklia namba F ni kati ya mwaka 2030-2032 hapo, sijajua mwezi utakuwa ganii la tuliojaliwa uzima tutaishuhudia na wajukuu zetu.
 
2027 tutakuwa tumeshaifuta namba E.

Tunaanza 2028 na namba F.
 
NGUMBE NGOJA NIWEKE KIBUBU NIWEKE HATA JEROJERO MPAKA F IFIKE NAVUTA ROSI ROSI
 
Hio rosi rosi labda maua rose

Tu assume miaka kumi kwa jero jero utakuwa na milion moja na laki nane na ishirini na tano ( 1,825,000)

Kila la kheri la rosi rosi😁
NGUMBE NGOJA NIWEKE KIBUBU NIWEKE HATA JEROJERO MPAKA F IFIKE NAVUTA ROSI ROSI
 
Back
Top Bottom