Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufaulu wako ndo unakupeleka chuo kizuri mkuu.Shukrani tuombeane tu maana skuizi kupata nafasi katika vyuo vizuri ni kama ku bet
Kabisa maana first round huwa hawashauriki kabisa!Ufaulu wa wanafunzi wengi umeleta ushindani mkubwa kupata nafasi kozi za afya.
Mkikosa First Round mseme tuwasaidie wadogo zetu
Sahihi, wanakua wanadhania mambo ni Smooth kama SecondaryKabisa maana first round huwa hawashauriki kabisa!
Nimeipenda hii CC Leekim49Kupata muhimbili, udom na udms uwe na one Kali ya 3-7 na kwingine kama wazazi wako wanahela utapata. Kama una three au two Anza na private kabisa. Hakikisha kwenu zipo Hela.
Indiketa kuwa kwenu Hela zipo:
Kama Kuna gari haipo siku mshua ulimsikia analakamika bei ya wese.
Mshua wako kama sio kiongozi wa chadema, awe hailaumu serikali ya CCM.
Mnatumia gesi, umeme, maji nk bila kukatika.
NB. Mtoto wa masikini kama huna one sahau MD
Jamani😃😃.. kwahiyo sisi watoto wa wanyonge ndio basi tenaNimeipenda hii CC Leekim49
YaaniNi hatari