Tunaotegemea ulozi katika maisha yetu tukutane hapa

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Huu ni Uzi maalumu kwetu sisi vigagula , kwa ajili ya kupeana update za dawa mpya na michanganyo yake kwa lengo la sisi kupandishwa vyeo makazini, kuwaroga mabosi zetu watuachie Mali , kuroga wazungu, kujipatia Mali za kilozi n.k

Binafsi tayari Nina mchanganyo mpya wa jinsi ya kuwavua na kuwatumia vibwengo !
 
Nimeacha ulozi.. Nimeuza kilinge na tunguli zote.. Shetani shindwaπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸƒπŸΏ
 
😁😁😁 badae nitakuwa baharini kufanya kafara la kitu flani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…