Bila uchawi mambo hayaendiTumeisha
Unataka nikurogeje mkuuAtakayeweza kuniloga nimemuandalia milioni kumi.
Naam.Unataka nikurogeje mkuu
Ningumu bila majina yako matatu mkuu , au ya mama au ya babaNaam.
Mbwembwe tu, hamna lolote.Ningumu bila majina yako matatu mkuu , au ya mama au ya baba
πMbwebwe tu, hamna lolote.
Tayari umeshawatisha π€£π€£π€£JF wachawi mnaitwa huku
watakomaπTayari umeshawatisha π€£π€£π€£
Hawapendi kuitwa hivo lakin wanapendawatakomaπ
Nina dawa 1 hiyo nikiweka tu nawaona mnaadui zangu kama vile naangalia TV.... Ukija wewe kama wewe lazima nikukule ila ukija na sura ya mnyama nakuua vibaya hadi naona kinyaa kula nyamaπ π π tupo hapa tunaenda shift.
Kwanini uuze na siyo kuchoma au kutoa bure?Nimeacha ulozi.. Nimeuza kilinge na tunguli zote.. Shetani shindwaππΏππΏππΏView attachment 3610818
Wakiweza waambie na mimi nina dauAtakayeweza kuniloga nimemuandalia milioni kumi.