Chagua wa mkoa wa mara!
Mkuu nimekuelewa vizuri sana..Nimeishi Na wakurya mda mrefu sana!
Kwanza niwasifu kitu kimoja mna jali sana ndugu,
Ila MNA haya;
Ati mtoto akifeli shule au akiharibu chochote basi mwanaume anakuja kumgombeza mama nyumbani! Yaani utafikiri huyu mama alimtuma mtoto afeli......
*Kujifanya much know sana ! hapa Ndio mnameza rekodi!
*Wivu kwa wanawake wakati huo we mwanaume kutoka Na wanawake wengine basi Ndio unajiona wewe kidume!
*Kukeketa watoto wenu wa kike halafu mkifika mjini mnashoboka Na wanawake wa makabila mengine ambao hawajakeketwa Na kuona kama ulipotea vile kuoa aliyekeketwa!
[HASHTAG]#Nitaendelea[/HASHTAG]
Yaani mkuu umeongea kweli mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo niProud to be a Tanzanian.
Proud to be a Kurian.
Changamoto nayoipata kwa mkoa ninaokaa sasa hivi ni ile kasumba ya watu kuhisi kwamba sisi wakurya ni wakatili sana kwa wanawake na pia wakorofi.
Yaani mtu anaogopa mwanae kuja olewa na mkurya.
Sister angu hilo jambo halina ukweli hata kidogo ila ni watu ndiyo wanatupakazia hivoNinasikia usimpompiga mke wako humpendi ni kweli?
Sio kweliNinasikia usimpompiga mke wako humpendi ni kweli?
John heche :[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Watu wa tarime wanapenda uwekezaji lakin ku graab land....
Unatishia watu kukamata? Sisi ni wanajeshi kabisa tuna uzoefu, karibu kila nyumba ina ritayadi soja
By John Heche[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app