Bila Shaka safari ya china inakuhusu, serikali yetu sikivu ipo tayari kutoa msaada wa madaktari wake wakapambane na Corona huko.Wenye kinga ndogo mwili kama wagonjw wa cancer na HIV, Covd-19 inawaathiri sana. Chukua tahadhari.
Mimi si daktariBila Shaka safari ya china inakuhusu, serikali yetu sikivu ipo tayari kutoa msaada wa madaktari wake wakapambane na Corona huko.
Wakuu nimekuwa nikijiuliza Kama sisi 'watumiaji' wa ARV tunaweza kuathiriwa na maambukizi ya Corona Virus maana naona Kinga Yetu IPO juu Sana..
Nje ya Mada:
Je 'tulionyanyapaliwa' hatutamani Corona waje fasta ili walotunyanyapaa na kujidai hawafanyi ngono zembe wapate Covid-19?