Nimekuwa natumia Grand Vitara Escudo ya mwaka 2005 CC 2000 kuanzia januari hii.. ila nimeona ulaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Sijakwenda nayo safari za mbali. Ila safari za hapa hapa mjini inakwenda kama km 5 hadi 6 kwa liter moja.
Nataka kuwauliza wadau hii ni kawaida? Nikisoma soma kwenye mitandao inaonyesha inatakiwa avarage ya 8.5 per liter.
Magari yenu utumiaji wake wa mafuta ukoje?
Mafundi wazuri wa hizi gari kwa hapa Dar wako wapi?