Asante MkuuWabongo wengi wamelogwa na Toyota....
Kuna link za escudo unaweza kuzitafuta hapa mtandaoni
Ok.. noted mkuuukiwa speed chini ya 40km/hr inaweza range kati ya 6-8km/L. ukiweza kumaintain 65+km/hr kuna uwezekano wa kutumia 10km/L.
BTW suzuki zinaonekana kuwa na consuption nzuri ukilinganisha na gar zingine zenye sifa sawa
Karibu kaka.Wa Escudo short chasis twakaribishwa pia?
Pia angalia, isijekua kijana wetu alichezea ile low range gear shifter akaitupia kwenye 4LNimekuwa natumia Grand Vitara Escudo ya mwaka 2005 CC 2000 kuanzia januari hii.. ila nimeona ulaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Sijakwenda nayo safari za mbali. Ila safari za hapa hapa mjini inakwenda kama km 5 hadi 6 kwa liter moja....
Mkuu ipo kwenye 4HPia angalia, isijekua kijana wetu alichezea ile low range gear shifter akaitupia kwenye 4L
What is TOYOTA? Toyota is a brand of car for which you will only miss its genuine spare part in a retail shop, only if you do not have money to buy such a spare partWabongo wengi wamelogwa na Toyota....
Kuna link za escudo unaweza kuzitafuta hapa mtandaoni
Mkuu huwa unatumia oil ya aina gani ? Ya Engine na Gear Box wakati wa serviceukiwa speed chini ya 40km/hr inaweza range kati ya 6-8km/L. ukiweza kumaintain 65+km/hr kuna uwezekano wa kutumia 10km/L.
BTW suzuki zinaonekana kuwa na consuption nzuri ukilinganisha na gar zingine zenye sifa sawa
Nina ya kwangu manual sitaiuza leo wala kesho. Ni bonge ya gari popote anapopita mwenye land cruza basi sina hofu najua ntapita bila shida kabisa.Wa Escudo short chasis twakaribishwa pia?