Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Mimi binafsi sitamani SSC irudi kwa form.
Niseme Wazi matatizo yao ndio furaha yangu. Simba iendelee kuwa kwenye mgogoro na kufanya vibaya.
Pamoja na yote yaliyotokea leo, bado sikioni kikosi cha SSC kitakachoweza kuvaana na Yanga.
Sijapenda tabia ya Ally kufokeana na beki wake hadharani, hizi ni tabia za manula anapokimbiaga responsibility, ni aina nyingine pia ya kuwa na IQ ndogo.
kwenye timu ukiona players wanasukumana that means kuna nidham kwenye timu haijajengwa, SSC bado inamatatizo mengine na inatakiwa kusimamia DISCIPLINE, Ally Salum ameonesha immature na ukosefu wa nidham.
Anapswa kukemewa VIKALI asirudio hizo tabia za michangani.
Ila Luis yale mashoti yake kwa mbali yanaanza kurudi